Kuhusu punyeto (Masturbation)

leonardbuba

Member
Joined
Nov 30, 2017
Posts
47
Reaction score
26
Ndugu nahitaji kujua hayo madhara yanayosemwa ya punyeto kuna yoyote amekutana nayo au kukabiriana nayo moja kwa moja kweli au ni nadharia ambayo haina uthibitisho mie mpaka leo sijawahi sikio wala una madhara yoyote zaidi wanaosema madhara ni katika ushawishi wa kuuza dawa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahitaji kufahamu side effects zake maana asilimia kubw ninao wafahamu wanaendelea na wengine mpka wanafamilia ila sijawasikia madhara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madhara take Ni kwamba unajitafutia laana maana hutaachwa mpk upigwe mapigo fulani fulani kwanza..huwezi nielewa but this is like a universal Truth..the more unavyopiga Ni Kama unajilia..mbegu Ni vitu holy..havitakiwii kutoelewa na njia ya punyeto..mbegu ndio uzima wako na nguvu yako
 
Hakuna madhara,,Ngoja nirudi tena bafuni nikapige kimoja..
#Nyeto Live It Love It
 
Nahis nimekuelewa deep sana buddy, haina madhara kinadharia ya kawaida ila kimungu ambapo amekutunuku kitu fulan unakitoa mwishe waweza poteza watoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna side effect..bali n ww tu utakavyoiweka psychology yako na kujisikia dhaifu. ....wanaume karbu wote wanafanya sn punyeto hasa kipind kile wanachoanza kubaleh na wakiwa shuleni

Kuhusu ss wanawake cjui kama wote ila pia huwa tunajisevia sometimes.
Na hao hao wanaume ndo waume zetu sasa ivi wanadunda hatuon madhar

Kama kuna mwanaume hajawahi kupiga punyeto anyooshe kidole juu afanye kama anajikuna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dahhh tufanye kama tunajikuna mie mmoja wapooo.....runnnnnn...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Falacy of generalization.
 
Ningependa kujua nyie madem huwa mnapigaje pull??
 
aibu mimi nasikia na kidole changu chini mweee
 
Kibomba kinahusika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…