leonardbuba
Member
- Nov 30, 2017
- 47
- 26
Ndugu nahitaji kujua hayo madhara yanayosemwa ya punyeto kuna yoyote amekutana nayo au kukabiriana nayo moja kwa moja kweli au ni nadharia ambayo haina uthibitisho mie mpaka leo sijawahi sikio wala una madhara yoyote zaidi wanaosema madhara ni katika ushawishi wa kuuza dawa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app