Hii njia nimewahi tumia. Ukiituma barua inafika sehem husika kwa haraka(yaani posta ya unapokusudia barua ifike) ila mhusika au ofisi husika lazima wafuate posta, bila hivo haifiki. Uzuri wake unaweza kumonita kama imechukuliwa na uliye kusudia imfikie.