Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
Vigezo na masharti kuzingatiwa Mkuu! Hivi ninyi mikia fc hamkumbuki kwamba mliwawahi kuitoa TP Mazembe mashindanoni bila ya kuifunga hata bao moja?Nyie Yanga mbona mnapenda vya bure sana
Kama mmesahau, rejeeni hapa chini:
SIMBA SC YASHINDA RUFAA YA CAF, SASA KUKIPIGA NA WYDAD CASSABLANCA YA MOROCCO | Sports Lady