Zion Daughter (Binti Sayuni??)
umeona eeh,
no body cares matatizo ya mtu,
they care pesa, ok aliyetoa mchango ajitokeze ...kimya...
ni namna mojawapo kubwa sana ya kukoseana uaminifu.
Unachotetea ni nini Mamndenyi..!?? aliyekosa uaminifu ni Ruhazwe JR , Na usidhani kuwa watu wanalalamikia pesa, no. hiyo ni pesa ndogo sana, na waliotoa hizo hela hawakutoa kwa kuwa wanazo sana la hasha, walitoa kwa moyo na mapenzi yao kuona chit chat inaendeleza interaction ya watu. Ruhazwe JR alipaswa kuonyesha uaminifu wake katika hili. Mbona awali tulipoambiwa anaumwa we were patient na tukawa nae kimaombi tukimtakia quick recovery.!!? Leo hii wewe unasema waliochangia pesa waseme uwarudishie, unadhani utaweza kurudisha imani waliyopoteza kwa Ruhazwe JR ..!??? ,Na kama uwezo huo unao kwa nini hukujitokeza kutoa ufadhili wakati huo RUHazwe anaomba wafadhili kujitokeza.
Tunampenda sana mwenzetu Ruhazwe JR , lakini je kwa hili lililotokea utatushawishi vipi tusiamini kuwa Ruhazwe JR katumia mtandao huu kutapeli..!??, Je inatosha tu kutuambia anaumwa au ana matatizo na muda unaenda na tuamini tu..!?? I'm thinking...
Ndio maana huwa najisikiaga kukwambia neno flani we mdada, kwa kweli nazimika sana na mapost yako.
Mmeo ana bahati sana.
Safi sana Ndelejha.
Je Mamndenyi,anaweza rudisha imani za watu walizopoteza kuhusu Ruhazwe JR?
Na mtu yeyote asikimbilie kusema kuwa atawarudishia wafadhili pesa zao.
Kwa maana hata mimi pekee ninao uwezo wa kuwarudishia,ila tatizo ni UAMINIFU.
Na nyie mnaosema ati kuwa Hamjui kama amepata matatizo,ndio hatukatai kuwa matatizo hayampati Ng'ombe wala Mbuzi,bali ni Binadamu,lakini kwa nini anashindwa kuja kusema neno moja ili roho za member zitulie?
Maana yaonesha alikuwamo humu tar 28 Januari,kweli alishindwa kusema chochote.
Kwa kweli Mpaka sasa hv, Tumekosa Imani na Uaminifu kwa Ruhazwe JR.
Arudishe tu hzo pesa za watu, na hili Shindano lifungiwe, PERIOD.
Nanyi mnaomtetea ujinga huu,yaonekama Hizo Pesa Mmekula nae,kubalini au Kataeni.
Unachotetea ni nini Mamndenyi..!?? aliyekosa uaminifu ni Ruhazwe JR , Na usidhani kuwa watu wanalalamikia pesa, no. hiyo ni pesa ndogo sana, na waliotoa hizo hela hawakutoa kwa kuwa wanazo sana la hasha, walitoa kwa moyo na mapenzi yao kuona chit chat inaendeleza interaction ya watu. Ruhazwe JR alipaswa kuonyesha uaminifu wake katika hili. Mbona awali tulipoambiwa anaumwa we were patient na tukawa nae kimaombi tukimtakia quick recovery.!!? Leo hii wewe unasema waliochangia pesa waseme uwarudishie, unadhani utaweza kurudisha imani waliyopoteza kwa Ruhazwe JR ..!??? ,Na kama uwezo huo unao kwa nini hukujitokeza kutoa ufadhili wakati huo RUHazwe anaomba wafadhili kujitokeza.
Tunampenda sana mwenzetu Ruhazwe JR , lakini je kwa hili lililotokea utatushawishi vipi tusiamini kuwa Ruhazwe JR katumia mtandao huu kutapeli..!??, Je inatosha tu kutuambia anaumwa au ana matatizo na muda unaenda na tuamini tu..!?? I'm thinking...
Waliotoa pesa zao waseme ili zirudishwe,
nimejikomiti i will refund kama yupo aliyetoa
aseme atoe kielelezo pesa inatafutwa lakini
uhai hautafutwi,
leteni vielelezo vya hela mliyotoa.
Waliotoa pesa zao waseme ili zirudishwe,
nimejikomiti i will refund kama yupo aliyetoa
aseme atoe kielelezo pesa inatafutwa lakini
uhai hautafutwi,
leteni vielelezo vya hela mliyotoa.
Wewe sasa unatafuta Ukatwe mapanga na Mume wangu.
Heshima kwako, kwa kuwa kwa kiasi fulani umejitoa mhanga kuondoa udhia huu, watu8 ana maswali kadhaa kwako;
1. Mbona ndugu yetu huyu akipigiwa simu inaita tu na haipokelewi? binafsi taarifa za kuumwa kwake nilizipata nje ya jukwaa na kwa kuwa nipo mjini hapa nilijaribu sana kumtafuta pasipo mafanikio. Nikapiga moyo konde nikiamini panapo unafuu wa mwili na akili nitapata kuwasiliana na ndugu yetu, lakini ukapita muda na hatimaye ukawa wakati hatimaye sasa ni majira na bado hakuna lolote jipya.
2. Awe anaumwa au haumwi, kwa sasa anaweza kupatikana vipi? Kama anaumwa tumtembelee kama marafiki kutoa mkono wa pole na kama yupo fit basi ajitokeze na kutoa tamko lenye mashiko.
3. Naomba utambue kuwa kuna baadhi ya wadhamini hapo juu waliweza kuahidi au kutoa udhamini kutokana na ushawishi wetu wadau wengine. Hili sipendi sana kuliongelea ila binafsi niliweza kuwavutia wadhamini wawili na kuwaunganisha na mratibu na wadhamini hao kwa ujumla wao zawadi zao ni karibu 50% ya zawadi yote. Sasa nadhani unaweza ukatambua kuwa hili lilikua ni zaidi ya zoezi la upigaji kura ndio maana wahusika wakuu wanakuwa na shauku ya kipi kiendeleacho.
hahahahahaha. Tuwasiliane kaka. Ntaenda KG kukuchukulia sumu ya panya
Atakuwa na matatizo mumeo, alitaka niseme nakuchukia..!??
tatizo sio laki moja bali tusemea uwaminifu na utu kwa wana chit chat. asiye mwaminifu kwa kidogo hata kwa kikubwa sio mwaminifu. lakini wapo walevi wanao jitambua. mia
tatizo sio laki moja bali tusemea uwaminifu na utu kwa wana chit chat. asiye mwaminifu kwa kidogo hata kwa kikubwa sio mwaminifu. lakini wapo walevi wanao jitambua. mia
Huyu jamaa kaharibu sana, nilijiunga JF wakati uchaguzi unaendelea nikaipenda chit chat kwa zoezi lile nikapiga kura, leo yamekuwa haya!??
Utampendaje Mke wa mtu?
Mbona kabla sijaolewa hukuniambia maneno hayo?
Unakwepa majukumu ee,unataka mteremko ee.