Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,244
Chilli huyu Zion Daughter na Mamndenyi wake nafikiri hawa elewi watu wanacho hitaji hapa jamvini, wao wamekaa kusingizia matatizo, yani hayo matatizo aliyo nayo yana mfanya hata simu ashindwe kupokea au kutuma hata ujumbe? Kha!
Leo humu kunoga.
Ila tuwe wakweli tu.
Ruhazwe JR akiri kuwa amefanya jambo baya.
Hao wanaomtetea mimi nawashangaa sana.
Uaminifu siku zote ni jambo dogo,lakini ukiliangalia kwa undani,ni kubwa na lina wigo mpana sana.
Kweli 143,000/= ikukimbize Jamvini?
Ruhazwe JR mimi namfahamu vizuri sana,tangu zamani, hana tabia hii, lakini sijui shetani gani kampitia.
Tuzidi kumuombea,labda ataibuka.
Wewe noahism shida haina ngoja ngoja..matajiri na masikini wote hupata shida-sosi: Mbaraka Mwinshehe
Hongera sana kwa moyo huo..
Madame B
najua unaelewa sana na nakupa heshima zote kwa hilo Ruhazwe JR ana matatizo
waliompa pesa Ruhazwe JR wako wapi?
si unajua hata msibani wanauliza
'wale wanaomdai mpendwa wetu waseme'
Madame B
najua unaelewa sana na nakupa heshima zote kwa hilo Ruhazwe JR ana matatizo
waliompa pesa Ruhazwe JR wako wapi?
si unajua hata msibani wanauliza
'wale wanaomdai mpendwa wetu waseme'
Madame B
najua unaelewa sana na nakupa heshima zote kwa hilo Ruhazwe JR ana matatizo
waliompa pesa Ruhazwe JR wako wapi?
si unajua hata msibani wanauliza
'wale wanaomdai mpendwa wetu waseme'
mkuu unashawahi kumtembelea mgonjwa?? kama ushawahi ni namna gani wengine tutaweza mtembelea??
acha siasa bana, wote tuna shida na matatizo, lakini tusitumie kama ki mvuli cha kukosa uaminifu mbele za watu walio kuamini ..
Kuna mtu ana hamu ya kushushwa shipa hapa. Ngoja nimalizie kazi kwanza halafu nirudi. Atakomaje?
Sio siasa..tujifunze kujaliana na kutafuta ukweli sio kuhukumiana...
Nani kahukumu?
mpenzi Mamndenyi msiba na sherehe ni tofauti kabisa kama member's wangethibitisha kuwa Ruhazwe JR anaumwa si ajabu wangeweza hata kumchangia zaidi ya hicho kiasi cha pesa wewe unasema unawataka watu walio toa pesa je? hawa warembo watalipwa na nani? embu nirudishie 200/ niliyotoa kama mdhamini wewe hii unaifikiriaje Last ActivityMadame B
najua unaelewa sana na nakupa heshima zote kwa hilo Ruhazwe JR ana matatizo
waliompa pesa Ruhazwe JR wako wapi?
si unajua hata msibani wanauliza
'wale wanaomdai mpendwa wetu waseme'