Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
khaaaaaaaaaaaaaaSaida Karoli kwa sasa shughuli zake anafanyia Bukoba na mkoa wa Kagera kwa ujumla. Ni maarufu kwenye vilabu vya pombe za kienyeji, pia Uganda ni maarufu na nyimbo zake zinapendwa sana kama wahaya tunavyopenda za kiganda hasa wanyankole.
Huyu hatomsahau Mutta baada ya kumtumia kujineemesha na baadae kumtupa akiwa katika hali mbaya.
Ananikosha na wimbo wake wa Kaisiki, wimbo mtamu una ujumbe murua.
huyo ni Mutta mwingine, sio Rugekhaaaaaaaaaaaaaa
clauz wauwaji
hahaha walimtumia kama toilate paper sasa hawana time nayehuyo ni Mutta mwingine, sio Ruge
kanichambua kama karanga mama x2Aridi na filimoni walipenda sanaaa mapenzi yao yakadumu mwenye wivu ajinyonge.
We acha tu. Hii dunia ina watu na viatuhahaha walimtumia kama toilate paper sasa hawana time naye
Duh!umetelemka nayo si mchezo.kanichambua kama karanga mama x2
yamuchumita omuyo gwa eibunda x2
nshangao obwamba nibujwa
ntekao omunwa byayanga mawe ninsilika enchweke etangobaaaa
olila bazaile bange
olila ngambe
Ahahahahahaaaaaaaaaaaa mchambizi buana"Asiye funzwa na mamaye atafunzwa na ruge mutahaba"
Shumalamu waitu....alibukoba agumile nkeibale waitu