Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
khaaaaaaaaaaaaaaSaida Karoli kwa sasa shughuli zake anafanyia Bukoba na mkoa wa Kagera kwa ujumla. Ni maarufu kwenye vilabu vya pombe za kienyeji, pia Uganda ni maarufu na nyimbo zake zinapendwa sana kama wahaya tunavyopenda za kiganda hasa wanyankole.
Huyu hatomsahau Mutta baada ya kumtumia kujineemesha na baadae kumtupa akiwa katika hali mbaya.
Ananikosha na wimbo wake wa Kaisiki, wimbo mtamu una ujumbe murua.
clauz wauwaji