Kuhusu sakata la skendo ya kubaka na kulawiti

Blood of Jesus

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
4,486
Reaction score
8,098
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Theopista Mallya amesema jalada la kesi ya vijana watano wanaotuhumiwa kutekeleza tukio la ubakaji na ulawiti wa binti anayedaiwa kuwa mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam limekamilika.

Vijana hao wanaodaiwa kutumwa na afande, wanne kati ya sita wameshakamatwa ambao walipanga na kutekeleza uhalifu huo. Tukio hilo liliibua mijadala mikali maeneo mbalimbali, ikiwemo mitandaoni.

Ukamataji huo umewagusa pia watu wengine wanane, kati yao wakiwemo wanne waliokamatwa kwa kukiuka sheria na kusambaza picha mjongeo (video) za tukio hilo kwenye mitandao ya kijamii, zilizoonyesha tukio hilo la ukatili.

Jana Jumapili, Agosti 18, 2024, RPC wa Dodoma, Theopista akizungumza juu ya kinachoendelea kuhusu watuhumiwa hao, alisema katika uchunguzi Jeshi la Polisi lilibaini vijana hao waliotuhumiwa kwa madai ya kutumwa, walikiri kutoagizwa na askari kama ilivyoelezwa.

“Kilichobainika vijana hao hawakutumwa na askari, walikuwa kama walevi na wavuta bangi tu, lakini yule dada alikuwa kama anajiuza ‘kahaba’.”
“Neno askari ni General (jumla) kwa kuwa hata mgambo ni askari, hivyo hatuwezi kulifafanua zaidi kwa kuwa haikubainishwa wazi na tunaliacha hivyo” alisema Kamanda huyo.

#KitengeUpdates
 
I lied
Don't move
Don't move it's over
1723924193310.jpg
 
kwasabb ya harakati za kisiasa, huruma na hisia zimeingizwa kwenye jambo hili la kihalifu na dhuluma kwa binti, ambalo sasa liko mahakamani, kijana anakwenda kupoteza haki zake hivi hivi kirahisi, kwasabb tu ya harakati rahisi, kama ilivyokua kwa yule wa chupa kule Manyara 🐒

kuna mambo yanahitaji seriousness katika kuyasimamia na kuyafuatilia hususani huko mahakamani..

hivi,
kutoka nje ya vyombo vya uchunguzi, nani anaefuatilia na kulisimamia jambo hili kwa karibu zaid kwa niaba ya huyo kijana?

nadhani ni mitandao ya kijamii pekee , na tena ni kwa kuhisi na kutaka kuonewa huruma tu🐒

can it real work?
 
Hawakutumwa na askari huu uongo kabisa
anyway wafikishwe mahakamani na haki itendeke.
 
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Theopista Mallya amesema jalada la kesi ya vijana watano wanaotuhumiwa kutekeleza tukio la ubakaji na ulawiti wa binti anayedaiwa kuwa mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam limekamilika.

Vijana hao wanaodaiwa kutumwa na afande, wanne kati ya sita wameshakamatwa ambao walipanga na kutekeleza uhalifu huo. Tukio hilo liliibua mijadala mikali maeneo mbalimbali, ikiwemo mitandaoni.

Ukamataji huo umewagusa pia watu wengine wanane, kati yao wakiwemo wanne waliokamatwa kwa kukiuka sheria na kusambaza picha mjongeo (video) za tukio hilo kwenye mitandao ya kijamii, zilizoonyesha tukio hilo la ukatili.

Jana Jumapili, Agosti 18, 2024, RPC wa Dodoma, Theopista akizungumza juu ya kinachoendelea kuhusu watuhumiwa hao, alisema katika uchunguzi Jeshi la Polisi lilibaini vijana hao waliotuhumiwa kwa madai ya kutumwa, walikiri kutoagizwa na askari kama ilivyoelezwa.

“Kilichobainika vijana hao hawakutumwa na askari, walikuwa kama walevi na wavuta bangi tu, lakini yule dada alikuwa kama anajiuza ‘kahaba’.”
“Neno askari ni General (jumla) kwa kuwa hata mgambo ni askari, hivyo hatuwezi kulifafanua zaidi kwa kuwa haikubainishwa wazi na tunaliacha hivyo” alisema Kamanda huyo.

#KitengeUpdates
Sawa ila nakujua ww ni mtu wa haki sana ,,ila sijui kwenye ili afande umekuaje? Au umekutana na kizingiti kikubwa ukashndwa ufanye nn?
 
MBUZI ALIFIA KWA MUUZA SUPU, KAHABA KATIKA SHUGHULI ZAKE, NA MASELA AMBAYO YALIKUWA TILALILAAAH!......
N. B, Ukahaba haulipi wadada wengi hupigwa mtungo na hupotezea tu 😁
Haya makitu hayakomoleki ispokuwa ina overdose tu, then inarudi normal.
AMINI HAKUNA KAHABA AMBAYE HAJAPIGWA DOUBLE DOUBLE.
 
Back
Top Bottom