Kuhusu selection za form five 2014

Kuhusu selection za form five 2014

uhu n unafk je mbona alyepata F haulz gerej wala cherehan n ln km mmexhnda madogo kaaen na vyet vyenu

Inaonekana jinsi gani , hata hizo F ulizopata ni halali. Hadi kitu kama hiki upo nje ya mada kama huna cha kuchangia ni bora ukatulia.
 
kweli aisee....hawa wapangaji wa post wanaboaaa.......hawako serious kabxaa....khaaaa...hadi leoo post badoo
 
Back
Top Bottom