kuhusu selection

mediy dullah

Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
35
Reaction score
12
NAFASI ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO ZATANGAZWA MUDA HUU--16800 WAKOSA SHULE.SOMA

- - - - -Nafasi za kujiunga na kidato cha nne mwaka 2014- kwa wanafunzi waliomaliza mwaka jana zimetangazwa rasmi muda huu jijini dare s salaam na naibu waziri wa TAMISEMI- Bw KHASIM MAJALIWA- ambapo zaidi ya wanafunzi 16800 wamekosa nafasi hizo kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo upungufu wa shule za kidato cha tano
------ Akitangaza majina na shule walizopangiwa wanafunzi hao Mh MAJALIWA amesema kuwa jumla ya wanafunzi 54085 sawa na alimilia 75.61 ya wanafunzi 71527 waliostahili kuingia kidato cha tano mwaka huu wamechaguliwa huku wavulanai ni 31352 wakati wasichana ni 22733 ambapo ni sawa na ongezeko la wanafunzi 20402 kwa kulinganisha na wanafunzi 33683 walochaguliwa mwaka jana.

- - - - -Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na shule mbalimbali wataanza kuripot katika meneo yao tarehe 10 julai mwaka huu ambapo mwisho wa kufika katika shule walizopangiwa ni tarehe 30 julai mwaka huu ambapoamesema kuwa kwa wale ambao watakuwa hawajiripot hadi tarehe hiyo nafasi zao zitajazwa na waliokosa nafasi.
 
:wave:hongera kwao na nawakaribisha sana advance
 
mkuu zinapatikana tovuti gani coz nmechech moe hakuna kitu
 
itakua njema sana kwa atakae pata link atujuze manake tuna ham nazo.
 
Upungufu wakati kuna baadhi ya shule zilifungwa!
Utani wa jadi huu
:flypig:
 
Duu, tumbo moto utadhani mie ndiye niliyefanya mtihani; kumbe no mtoto. Jamani nimeangalia Tamisemi, Wizara ya Elimu hata NECTA, ijaona link. Tafadhali atakayeeanza kuona basi atubandikie hapa. Asanteni ya mapema.
 
Hahahaaahaaaaaa !

Eti link bado ! Ila Tanzania !

Mi navumilia sana kuwa Mtanzania ! Basi tu sina jinsi !
 
Hahahaaahaaaaaa !

Eti link bado ! Ila Tanzania !

Mi navumilia sana kuwa Mtanzania ! Basi tu sina jinsi !
Huyo kapakua kabla ya kuivisha!
Kakaribisha na kusalisha ,
kabla ya kunawisha.
Copy that..Overr!!
 
Huyo kapakua kabla ya kuivisha!
Kakaribisha na kusalisha ,
kabla ya kunawisha.
Copy that..Overr!!


afu umeyasoma fresh maelezo haya kaparo ?

- - - - -Nafasi za kujiunga na kidato cha nne mwaka 2014- kwa wanafunzi waliomaliza mwaka jana zimetangazwa rasmi muda huu jijini dare s salaam na naibu waziri wa.......


Blogs kibao nimeona wameandika hivyo sijui wamecopy wapi !
 

Hakuna chanzo wala nini'
Hovyo sana hii thread!
 

Walikua wanaangalia kombe la dunia wakasahau kuandika kidato cha tano wakaandika kidato cha nne.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…