Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NAFASI ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO ZATANGAZWA MUDA HUU--16800 WAKOSA SHULE.SOMA
- - - - -Nafasi za kujiunga na kidato cha nne mwaka 2014- kwa wanafunzi waliomaliza mwaka jana zimetangazwa rasmi muda huu jijini dare s salaam na naibu waziri wa TAMISEMI- Bw KHASIM MAJALIWA- ambapo zaidi ya wanafunzi 16800 wamekosa nafasi hizo kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo upungufu wa shule za kidato cha tano
------ Akitangaza majina na shule walizopangiwa wanafunzi hao Mh MAJALIWA amesema kuwa jumla ya wanafunzi 54085 sawa na alimilia 75.61 ya wanafunzi 71527 waliostahili kuingia kidato cha tano mwaka huu wamechaguliwa huku wavulanai ni 31352 wakati wasichana ni 22733 ambapo ni sawa na ongezeko la wanafunzi 20402 kwa kulinganisha na wanafunzi 33683 walochaguliwa mwaka jana.
- - - - -Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na shule mbalimbali wataanza kuripot katika meneo yao tarehe 10 julai mwaka huu ambapo mwisho wa kufika katika shule walizopangiwa ni tarehe 30 julai mwaka huu ambapoamesema kuwa kwa wale ambao watakuwa hawajiripot hadi tarehe hiyo nafasi zao zitajazwa na waliokosa nafasi.
Kazi kwako kuangalia inayokupa information iliyojitosheleza.wanafunzi wapatao 68000
wamechaguliwa kujiunga na kidato
cha tano, habari imetolewa na waziri
wa elimu kwa vyombo vya habari,na
waziri katangaza wanafunzi kuripoti
shuleni kuanzia tarehe 10 july, na
watakaoshindwa kuripoti hadi kufikia
tarehe 30 july nafasi zao zitatolewa
kwa wale ambao hawajapata nafasi
kwa madaraja mengine
Sourse: Taarifa ya habari Star tv saa 2
usiku huu
Ipi ni sahihi kati hizi taarifa hapo juu
Kweli halo ya taiga no mbaya