kuhusu selection


wanafunzi wapatao 68000
wamechaguliwa kujiunga na kidato
cha tano, habari imetolewa na waziri
wa elimu kwa vyombo vya habari,na
waziri katangaza wanafunzi kuripoti
shuleni kuanzia tarehe 10 july, na
watakaoshindwa kuripoti hadi kufikia
tarehe 30 july nafasi zao zitatolewa
kwa wale ambao hawajapata nafasi
kwa madaraja mengine
Sourse: Taarifa ya habari Star tv saa 2
usiku huu
Ipi ni sahihi kati hizi taarifa hapo juu
 
Kazi kwako kuangalia inayokupa information iliyojitosheleza.


Sent from my BlackBerry using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…