Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,804
- 10,715
Wakuu,
Naomba kujuzwa kuhusu sheria iliyowekwa hapa Tanzania ya kupost content kwenye youtube channel. Je, ni content za aina gani ambazo zinapaswa kulipiwa hiyo tshs 1,000,000 au labda ni channel yoyote ile mradi tu unafungua youtube?
Hii ni njia mbaya kabisa ya kuzuia vijana kujipatia kipato katika nchi ambayo ajira ni kitendawili.