Sina uhakika ila itakuwa zote.wao wanadai kodi yao..Kwa hiyo sheria ni kwa channel zote?
Dah! Hapo mkuu umenipiga chenga!😂😂 Mi sio mtaalam kihivyo mbwembwe tuBhugudima ng'wanomayu
Dah! Hapo mkuu umenipiga chenga![emoji23][emoji23] Mi sio mtaalam kihivyo mbwembwe tu
Yah ilimrad c itakuingizia mapato? Na unachotoa si kwa ajili ya jamii? Basi pasina shaka ni kwa zoteKwa hiyo ni ZOTE tu