Kuhusu Student Verification kwenye NACTVET

johnny68

New Member
Joined
Oct 13, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Samahani wakuu,

Sisi ni wanafunzi tuliomaliza chuo cha kati mwaka wa tatu, Ningependa kuuliza kuhusu suala la Submitted na Confirmed maana tuliambiwa kuwa ukiandikiwa Confirmed ni kuwa huna supplimentary yoyote na ukiandikiwa Submitted ni kuwa una supplimentary, repeat module au disco.

Changamoto inakuja mtu ameandikiwa Confirmed lakini kwenye Semister 2 ameandikiwa Restricted. Hasa hatujui maana yake ni nini na tunapenda kupata ufafanuzi
 
Acha wenge wiki hii matokeo yenu yataletwa vyuoni mwenu.

Submitted= una supp au repeat module
Confirmed=Matokeo yako yako vizuri ,umepass
Restricted= yamezuiliwa ila hii ni kwa profile zote hata wale waliomaliza miaka 3 nk wameandikiwa semista 2:restricted. Hivyo acha wenge muda ukifika utajua labda kama mlifanya udangangifu kama 2021 hapo ndo kisanga.
 
Hahahah matokeo yatakuwa exposed soon! Relax
 
Acha wenge wiki hii matokeo yenu yataletwa vyuoni mwenu.

Submitted= una supp au repeat module
Confirmed=Matokeo yako yako vizuri ,umepass
Restricted= yamezuiliwa ila hii ni kwa profile zote hata wale waliomaliza miaka 3 nk wameandikiwa semista 2:restricted. Hivyo acha wenge muda ukifika utajua labda kama mlifanya udangangifu kama 2021 hapo ndo kisanga.
Umempa ufafanuzi mzuri mkuu hope atakua ame kuelewa.

Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
 
Back
Top Bottom