Samahani wakuu,
Sisi ni wanafunzi tuliomaliza chuo cha kati mwaka wa tatu, Ningependa kuuliza kuhusu suala la Submitted na Confirmed maana tuliambiwa kuwa ukiandikiwa Confirmed ni kuwa huna supplimentary yoyote na ukiandikiwa Submitted ni kuwa una supplimentary, repeat module au disco.
Changamoto inakuja mtu ameandikiwa Confirmed lakini kwenye Semister 2 ameandikiwa Restricted. Hasa hatujui maana yake ni nini na tunapenda kupata ufafanuzi