Hahahah matokeo yatakuwa exposed soon! RelaxSamahani wakuu,
Sisi ni wanafunzi tuliomaliza chuo cha kati mwaka wa tatu, Ningependa kuuliza kuhusu suala la Submitted na Confirmed maana tuliambiwa kuwa ukiandikiwa Confirmed ni kuwa huna supplimentary yoyote na ukiandikiwa Submitted ni kuwa una supplimentary, repeat module au disco.
Changamoto inakuja mtu ameandikiwa Confirmed lakini kwenye Semister 2 ameandikiwa Restricted. Hasa hatujui maana yake ni nini na tunapenda kupata ufafanuzi
mbona yametoka tayariHahahah matokeo yatakuwa exposed soon! Relax
Matokeo yametoka kitambo.mbona yametoka tayari
nadhani kiingereza kizuri ni hayajawa postedyaexpose
Asantenadhani kiingereza kizuri ni hayajawa posted
Umempa ufafanuzi mzuri mkuu hope atakua ame kuelewa.Acha wenge wiki hii matokeo yenu yataletwa vyuoni mwenu.
Submitted= una supp au repeat module
Confirmed=Matokeo yako yako vizuri ,umepass
Restricted= yamezuiliwa ila hii ni kwa profile zote hata wale waliomaliza miaka 3 nk wameandikiwa semista 2:restricted. Hivyo acha wenge muda ukifika utajua labda kama mlifanya udangangifu kama 2021 hapo ndo kisanga.