Kuhusu suala la ajira alaumiwe Hayati Magufuli kurundika graduates mtaani na hapo hapo akajiita eti ni Rais wa wanyonge

Angalia waliokuwa shortlisted kusailiwa ni zaidli ya 200,000 wakati wanaotakiwa no 14,00 tu.

Nampa heko mama angalau anapunguza kuliko lile jibwa ambalo lilikuwa linawatesha vijana mtaani na kuwafanya machinga.

Jk aliweka utaratibu mzuri wa kuajiri kila mwaka lakini lenyewe likaharibu utaratibu mzuri ule tatizo la ajira likaanza.
Jpm alikuwa mtu wa hovyo kabisa
 
Tatizo kubwa la ajira kwa Tanzania ni hilo la kutegemea ajira za serikali tu.
Mwaka 2014 wakati Lowassa akiwa mgombea wa Urais, kabla hata Magufuli hajapitishwa na CCM, Lowassa alionya kuwa tatizo la ajira kwa vijana lilikuwa limeshaanza kujijenga kwenye jamii. Maguifuli alirithi tatizo hilo
 
Wewe mtoa mada ni kati ya watu wenye akili mgando na kichwa chako kimejaa vumbi hakiwezi kufikiria,maana ya kuwa na degree ni nini!?
 
Mimi sitaki kuwa Mtetezi wa Magufuli, najua alifanya mambo mengine yasiyofaa, lakini pia nime kuweko kwenye utawala wa Kikwete, mwaka 2006 Lowasa alisema Tatizo la ajira ni bomu linalo subiri kulipuka, hizo clips na maandishi yapo, leo hii ukiniambia eti Kikwete ali create ajira nita kushangaa ni ajira zipi hizo?

Lowasa alienda mbali zaidi na akasema tatizo la nchi yetu hii ni viongozi kuongea kuongea kuongea bila kuchukua Maamuzi magumu.

Hivi tujiulize kwa akili tu ndogo, hii serikali ya Mama ni kweli inaweza kuondoa tatizo la ajira? Hebu wekeni hii mipango tuone, huwezi kuondoka tatizo la ajira kwa kutegemea serikali tu kuajiri wahitimu, hiyo jokes of all time, actually Mama mnampatia sifa kubwa ambazo hata hastahili au ccm haistahili.

Niwaulize tu, Mama irrigation project toka aimbe iko wapi? Nilifikiri kule ndo vijana wengi wataajiriwa akaishia kuchukua vijana kwa majaribio, hatupendi sana kumkosoa si unajua ccm wanajikinga kwa ohh huyo mdini kila Mama akiguswa.
 
Maendeleo ni watu dogo. Siyo vitu. Ethiipia kuna miundo mbinu mpaka chooni lakink watua wanakamatwa kila siku wakikimbia nchi yao kwenda africa kusini kutafuta maisha.
Umewahi kufika Ethiopia ukajionea hiyo ni miundo mbinu ambayo mnadanganyana huku bongo? Ethiopia ni nchi Moja maskini sana kwanzia makazi mpaka Hali zao za kimaisha, usindanganyike na GDP Yao ambayo ukubwa wake unachangiwa uwingi WA watu.

Na pia suala la kwenda nje ya nchi kutafuta fursa hata wachina wanafanya, Sasa je nao pia wanasukumwa na umaskini WA nyumbani kwao kama Ethiopia??

Kwa hiyo wewe Sasa hivi Kwa vile tu una ki ajira chako hicho, leo hii ikitokea fursa adhimu nje ya nchi huwezi kwenda sio Kwa Sababu tayari una ajira?? Akili zako ni fupi sana hazivuki usawa WA Tumbo lako.
Kwani Ulimboka na Mwangosi walipatwa matatizo Mwaka gani si 2012. Rais alikuwa nani?
Huyu matako hajui chochote hata kuhusiana na tawala za huko nyuma, yeye anachojua ni kumpamba Samia na kum demonize Magufuli sababu ya njaa Kali aliyokuwa nayo Kwa miaka 5, inavyonekana JPM angekuwa Bado yupo yawezekana asingekuwa hai pengine angekuwa ameshajiua Sababu ya tress na kukosa maarifa ya kuikimbia njaa.
 
Wewe mtoa mada ni kati ya watu wenye akili mgando na kichwa chako kimejaa vumbi hakiwezi kufikiria,maana ya kuwa na degree ni nini!?
Nikishaonaga graduate ambaye anakili mwenyewe kwamba eti sijui bila kuajiriwa hawezi kusurvive kama huyu mleta mada hapa, Huwa nina mdharau sana.

Huyu mleta mada ni Moja ya wasomi WA ovyo wanastahili kudharauliwa sana, maana alienda shuleni kuongeza ujinga badala ya kutoa ujinga
 
Angalia waliokuwa shortlisted kusailiwa ni zaidli ya 200,000 wakati wanaotakiwa no 14,00 tu.

Nampa heko mama angalau anapunguza kuliko lile jibwa ambalo lilikuwa linawatesha vijana mtaani na kuwafanya machinga.

Jk aliweka utaratibu mzuri wa kuajiri kila mwaka lakini lenyewe likaharibu utaratibu mzuri ule tatizo la ajira likaanza.
Wewe ndo wale NYANI mnaowekewa pesa na ndizi na kuchagua ndizi!!

Na nina imani utarudi tena hapa kulalamika umepigwa chini kwenye hiyo ajira.
BICHWA UMEFUGIA NYWELE TU.
 
Ila jiwe alikuwa mjinga sana,kuna kipindi walitoa ajira afu majina yakawayanarudiwa ili idadi ionekane ni kubwa

Mfano jina moja linakuwa kwenye kila page afu page zipo 70
Kwa hiyo Kwa akili yako Sasa hivi uhuni na makosa kama hayo hayafanyiki?

Hivi una habari kwamba Sasa hivl wimbi la watumishi hewa limerudi Kwa kasi?

Huko wapi nikuoneshe ofisi ya uma ambayo Kuna mfanya kazi alifariki tangu mwaka juzi lakini mpaka leo mshaara wake Bado utaendelea kutoka na watu wanautia mfukoni?

Nyie wapumbavu mnamuona Samia kama Yuko perfect sana na wakati serikali yake ndio serikali ya ovyo kuliko zote hapa nchini.
 
Nchi imejaa mashoga hii
Yana ropoka hovyo kama nyeti za bata.

Mtoa mada una majeraha ya kijambio sio bure
 
Magufoooul alikuwa maku sana boya yule ,makagare yake .
Mazafaka mmoja
Angalia waliokuwa shortlisted kusailiwa ni zaidli ya 200,000 wakati wanaotakiwa no 14,00 tu.

Nampa heko mama angalau anapunguza kuliko lile jibwa ambalo lilikuwa linawatesha vijana mtaani na kuwafanya machinga.

Jk aliweka utaratibu mzuri wa kuajiri kila mwaka lakini lenyewe likaharibu utaratibu mzuri ule tatizo la ajira likaanza.
 
Acheni madharau shda wanazopata Hawa ndugu zetu ni nyng, tuwaombee badala ya kuwakejel , kichaa anachekesha akiwa hakuhusu
Tunawaeleza ukweli kama hujasoma shule na vyuo Bora hiyo ajira utaisikia redioni tu katika Dunia ya leo
 
Angalia waliokuwa shortlisted kusailiwa ni zaidli ya 200,000 wakati wanaotakiwa no 14,00 tu.

Nampa heko mama angalau anapunguza kuliko lile jibwa ambalo lilikuwa linawatesha vijana mtaani na kuwafanya machinga.

Jk aliweka utaratibu mzuri wa kuajiri kila mwaka lakini lenyewe likaharibu utaratibu mzuri ule tatizo la ajira likaanza.
Jinga wewe. Magufuli alikuf.....ra na vyeti vyako feki. Chuma kile. Shetani mkubwa. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Angalia waliokuwa shortlisted kusailiwa ni zaidli ya 200,000 wakati wanaotakiwa no 14,00 tu.

Nampa heko mama angalau anapunguza kuliko lile jibwa ambalo lilikuwa linawatesha vijana mtaani na kuwafanya machinga.

Jk aliweka utaratibu mzuri wa kuajiri kila mwaka lakini lenyewe likaharibu utaratibu mzuri ule tatizo la ajira likaanza.
Magufuli hahusiki, shida ni mitaala kulenga ajira rasmi tu, wakati nchi hii ina fursa kibao
 
Angalia waliokuwa shortlisted kusailiwa ni zaidli ya 200,000 wakati wanaotakiwa no 14,00 tu.

Nampa heko mama angalau anapunguza kuliko lile jibwa ambalo lilikuwa linawatesha vijana mtaani na kuwafanya machinga.

Jk aliweka utaratibu mzuri wa kuajiri kila mwaka lakini lenyewe likaharibu utaratibu mzuri ule tatizo la ajira likaanza.
Haha watu wa JK wazee wa unajua mie nani.....lazima mumchukie JPM
 
Angalia waliokuwa shortlisted kusailiwa ni zaidli ya 200,000 wakati wanaotakiwa no 14,00 tu.

Nampa heko mama angalau anapunguza kuliko lile jibwa ambalo lilikuwa linawatesha vijana mtaani na kuwafanya machinga.

Jk aliweka utaratibu mzuri wa kuajiri kila mwaka lakini lenyewe likaharibu utaratibu mzuri ule tatizo la ajira likaanza.
Tangu lini marehemu analaumia humu Duniani? Walio baki watatue tatizo -period
 
Moja ya marais wa hivyo kuwai kutokea katika sayari hii ni jiwe. Alaaniwe jiwe mara milioni.
 
Nikishaonaga graduate ambaye anakili mwenyewe kwamba eti sijui bila kuajiriwa hawezi kusurvive kama huyu mleta mada hapa, Huwa nina mdharau sana.

Huyu mleta mada ni Moja ya wasomi WA ovyo wanastahili kudharauliwa sana, maana alienda shuleni kuongeza ujinga badala ya kutoa ujinga
Tena wa namna hii wapo wengi,si unaziona komenti zao.Na mtoa mada kama ni mwalimu atazidi kuandaa taifa la walemavu wa kufikiria kama yeye
 
Back
Top Bottom