Kuhusu suala la ajira alaumiwe Hayati Magufuli kurundika graduates mtaani na hapo hapo akajiita eti ni Rais wa wanyonge

Kuhusu suala la ajira alaumiwe Hayati Magufuli kurundika graduates mtaani na hapo hapo akajiita eti ni Rais wa wanyonge

Haha watu wa JK wazee wa unajua mie nani.....lazima mumchukie JPM
Mara nyingi ukiona mtu anamsifia JK ujue ni wale waliokuwa wamezoea kuishi Kwa matabaka, tena wao wakiwa ni tabaka la juu la waonevu...!!

Sasa JPM alikomesha kabisa huo ujinga, Sasa hivi Samia kaurudisha..
 
Mara nyingi ukiona mtu anamsifia JK ujue ni wale waliokuwa wamezoea kuishi Kwa matabaka, tena wao wakiwa ni tabaka la juu la waonevu...!!

Sasa JPM alikomesha kabisa huo ujinga, Sasa hivi Samia kaurudisha..
Tusipigwe ban tu
 
Alikua amevuta nini kwani?
Unajua ule utawala uliwaacha watu wengi sana wakiwa na changamoto ya kiakili,? Kuna wapo waliopona baada ya muda na Kuna wapo ambao hawakupona kabisa mpaka leo hii...

Na mnaamini Moja ya watu ambao hawakupona mpaka leo ni huyo mpuuzi aliyekula ban hapo, huyo Kwa kumuangalia tu anaonekana akili yake haiko sawa tangu avurugwe na JPM... Na ndio maana hasira zake anakuja kuzimalizia kwetu, na hawezi kupona na huo uchungu atakufa nao.

Na sio yeye tu, wapi wengi sana WA dizaini yake mwingine yupo hapo juu anajiita I am Liverpool.... Ni Wale wale wenye mental derangement iliyotokana na mkono WA chuma WA JPM
 
Angalia waliokuwa shortlisted kusailiwa ni zaidli ya 200,000 wakati wanaotakiwa no 14,00 tu.

Nampa heko mama angalau anapunguza kuliko lile jibwa ambalo lilikuwa linawatesha vijana mtaani na kuwafanya machinga.

Jk aliweka utaratibu mzuri wa kuajiri kila mwaka lakini lenyewe likaharibu utaratibu mzuri ule tatizo la ajira likaanza.
Ipo siku utashindwa kubeba mimba ya mumeo na kumlaumu JPM
 
Tulipofika Sio Mahali pa kuitegenea serikali ikufanyie maajabu kwa kile ulichosomea.

Wapo wengi walioamua kabla ya kumalizana kusoma kuwa hawataenda kusimama kwenye foleni isiyotembea.

Kapige kazi Jomba.
True kabisa tatizo la ajira haliko TZ tuu,we usubiri serikali ikuajira itakula kwako.TZ fursa ziko nyingi tuu ni kujiongeza
 
Jiwe aliua kabisa sekta binafsi ambayo ina mchango mkubwa sana wa ajira, akafikiri kila kitu kufanywa na Serikali ndiyo njia pekee ya kuhodhi mapato ya nchi.
 
Serikali ina uwezo wa fedha kuajiri hao 14,000 tu,
Maana yake uwezo unapatikana tu kwa kuwa Magu aliajiri kwa uchache!
Imagine Magu angeajiri, hao 14,000
Unadhani leo ingetangazwa hio ajira?
Ndiyo ingetangazwa kwa sababu mahitaji bado yapo mengi tu ila jpm alitala tuishi kama mashetani ndo mission yake
 
Back
Top Bottom