uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 11,915
- 28,284
Kumekuwa na shida ya baadhi ya watu kukubali mawazo tofauti na yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe taadhari watu wachukue. Ila taadhari za kufanya lockdown kwa huku kwetu siamini kama ni sahihi.
Nimeonesha twita hofu yangu kwenye swala la lockdown nakiri sijawahi kutukanwa kwa namna ile ila nilifarijika maana baada ya hapo trump alisema anahofu kuwa lockdown ni mbaya sana kuliko ugonjwa basi nikaona kumbe siko pekee mwenye hofu hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sio mshabiki kabisa wa Magufuli wala asitegemee kupata kura yangu, ila kwenye hili la kutokutoa hana na kuchapa kazi kwenye hii taharuki namuunga mkono.
Ulishawahi kuona brand new Corona bongo ? Hata hiyo inayokuja huku pia ni used, usiwe na wasi wasi.Ukitazama Ulaya,America,Asia na Nchi nyingine za Africa walivyo serious kupigana na virus vya Corona kuanzia life style,halafu ukatazama hapa nyumbani Tanzania jinsi tunavyo behave na jambo hili,kwa kweli unaweza fikiri huku sisi tuna pambana na virusi vya Corola na sio Corona
Memento, Homo!!!
KweliMungu atuepushie mbali na hili janga
Huu ndio ukweli japo mchunguI totally agree