Kuhusu suala la Corona, Rais yupo sahihi sana

Nakubaliana na wewe taadhari watu wachukue. Ila taadhari za kufanya lockdown kwa huku kwetu siamini kama ni sahihi.

..na mimi nakubaliana na wewe.

..tuchukue tahadhari za kujikinga na kupunguza maambukizi bila visingizio au uzembe wa aina yoyote.

..na tumuombe MUNGU kwelikweli maambukizi yasifikie kiwango cha kuhitaji total lockdown.
 

Mkuu kutukanwa huku mitandaoni ni kawaida sana. Hicho alichosema jpm na trump ni tatizo kubwa zaidi ya ugonjwa wenyewe but watu wengine hawaelewi wala kukubali.
 
Mimi sio mshabiki kabisa wa Magufuli wala asitegemee kupata kura yangu, ila kwenye hili la kutokutiana hofu na kuchapa kazi kwenye hii taharuki, namuunga mkono.
 
Mimi sio mshabiki kabisa wa Magufuli wala asitegemee kupata kura yangu, ila kwenye hili la kutokutoa hana na kuchapa kazi kwenye hii taharuki namuunga mkono.

Mkuu yaani we acha tu! Hapa tuki mess up kdg tu as country tutapata majanga ya kufa mtu. Maisha yenyewe kwa watu wengi tia maji tia maji!
 
Let’s take time to appreciate the frontline health workers risking their lives to make sure the virus is contained. God bless each and everyone of you
 
Ulishawahi kuona brand new Corona bongo ? Hata hiyo inayokuja huku pia ni used, usiwe na wasi wasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…