Uchaguzi 2020 Kuhusu suala la kuichagua CCM na sio Upinzani Dkt. Magufuli yupo sahihi

Uchaguzi 2020 Kuhusu suala la kuichagua CCM na sio Upinzani Dkt. Magufuli yupo sahihi

Sasa kama anataka Ccm ipitishwe kilazima tunafanya uchaguzi wa nini? Hili zee ni shida jamani!
 
Sumu
Mlishawahi kuwapa nchi wapinzani wakaharibu au ndo zile kauli za kusema ETI MKIMKOSA RAIS JOHN SIDHANI KAMA TUTAPATA MWENYE MOYO KIZALENDO KAMA,HUYU"
Sumu haijaribiwi kwa kuonja. Wapinzani watasubiri Sana.
 
Sumu haionjwi,

Kuchagua upinzani ni sawa na kujilisha sumu.
 
magufuli ni mkweli na muwazi sana bt kwa kua watanzania wamezoea blah blah na kudanganywa ndo maana hawamuelewi direct.
 
Back
Top Bottom