Jk alikuwa na utaratibu mzuri sana kila mwaka husika anaajiri walimu au madaktari wote waliohitimu huo mwaka kiasi ambacho kulikuwa kuna scarcity ya watu mtaani na ikapelekea private sector lazima watoe mishahara mikubwa ili kumconnvince mtu asiende serikalini.
Sasa lilikuja likaharibu kila kitu ambapo sasa Rais Samia is sufferinh at the cost of this dude.
Sijui angekuwa anaishi hali ingekuwaje mpaka sasa mana alikuwa hajari kabisa.
Tazama sasa hivi ajira za ualimi zilizotangazwa ni elfu 11 lakini aplication ni laki mbili