dah kwa hyo inategemea na muda ambao m2 uliomba au coz kwa mfano kcmc wa2 walio eligible ni 225 ambao wameomba as the first choice na capacity yao ni 150,afu inavyoonekana wa2 wenye point tano ndo wameomba wengi xa hapo ndo nilikua najiuliza hapo itakuaje ndugu