kuhusu tcu na selection

kuhusu tcu na selection

Mfukunyuzi

Senior Member
Joined
May 30, 2012
Posts
125
Reaction score
9
eti wadau hivi endapo itatokea mmelingana pointi wa2 wengi katika faculty moja kita2mika kigezo gani ili kuwachagua au matokeo ya o level yataangaliwa mwenye wazo pevu ebu funguka basi
 
Watatumia formula ya Fifo{yani first in,first out}
 
dah cjakusoma mwana ndo ikoje iyo formula ebu dadavua kimtindo
 
dah kwa hyo inategemea na muda ambao m2 uliomba au coz kwa mfano kcmc wa2 walio eligible ni 225 ambao wameomba as the first choice na capacity yao ni 150,afu inavyoonekana wa2 wenye point tano ndo wameomba wengi xa hapo ndo nilikua najiuliza hapo itakuaje ndugu
 
Back
Top Bottom