Kuhusu TCU

MTONILIST

Member
Joined
Apr 20, 2012
Posts
78
Reaction score
11
Naombeni mnijuze wadau kwa kidato cha sita ambao matokeo yametoka juzi wataanza kujaza lini vyuo vikuu maana najaza najibiwa namba ya mtihani yq form sic haipo kwenye system. Watuambie tutaanza baada ya muda gani.
 
Mbona mi nimefanikiwa kujaza na sijaambiwa kuhusu form six number missing in the system....
everything was mwah...
 
Kaka we matokeo yametoka juzi au ulimaliza miaka iliyopita maana mi wamenijibu kwamba kunanarekebisho kidogo wanafanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…