Kuhusu tikiti maji

Kuhusu tikiti maji

magzee

Member
Joined
Jan 1, 2013
Posts
62
Reaction score
7
Ninategemea hivi karibuni nianze kufanya kilimo cha tikiti maji hapo Mlandizi ecari 15.

Kwa ajili ya ugeni wangu kwenye hii biashara nilikua nataka ushauri wa soko na ikibidi hata kupata connections za watu wanaonunua matikiti kwa jumla ili yatakapokua tayari mauzo yafanyike promptly. .

Asanteni in advance.
 
TIKITI INA SOKO NZURI..WALA HAITAKUANGUSHA.je umeshawahi kulima?je unajua changamoto zake?soko lipo poa.
 
Hapana mkuu
..sijawai kulima kabla...ningependa unielimishe kuhusu changamoto za hususan tikiti maji.....asante
 
Hapana mkuu
..sijawai kulima kabla...ningependa unielimishe kuhusu changamoto za hususan tikiti maji.....asante

Magzee sina jibu ila naongezea hapo kwako ili wataaluma watujibu wote. Mm ninahitaji kujua kama tikiti linakubali pia Mkuranga maeneo ya Msorwa. Natanguliza shukrani za dhati.
 
Changamoto kubwa kwenye kilimo hiki ukiachilia mbali mambo ya kitaalamu wizi ila nakushauri uanzr na hekari 5hivi kwa matazamio
 
Kuna uzi wa matikiti maji humu upitie una data nyingi sana
 
Back
Top Bottom