Kuhusu Triple C, Mwakalabela aiomba msamaha Simba SC, asema alikuwa anatania

Kuhusu Triple C, Mwakalabela aiomba msamaha Simba SC, asema alikuwa anatania


Sauti ya Mwakalabela

Baada ya Mwamba Haji Manara kuunguruma leo Wasafi Fm, majibu yameanza kutoka. Niwashauri viongozi wa Yanga waache kujidhalilisha wanaposhindana na Haji. Nasema hivyo kwa sababu chanzo cha haya yote ni baada ya Haji kumtakia Happy Birthday Papy Shishimbi,wao wakaumia sana. Lakini hakuna sehemu yeyote ambayo uongozi wa Simba ikiwepo Haji waliotamka kumsajiri Shishimbi,zaidi ya mashabiki pekee

"Nichukue nafasi hii kuwaomba msamaha Simba Sports Club na wanachama wa Yanga SC kuhusu kauli yangu juu ya kutaka kumsajili Claotous Chama, nilikuwa nafanya utani kama wao walivyokuwa wanafanya kwa Tshishimbi ila kiukweli mchezaji huyo sijazungumza nae. Nilizidisha utani na naahidi jambo hili halitojitokeza tena."

Fredrick Mwakalebela

Huyo unayemwita mwamba Hana umwamba wowote ule labda ule wa kuropoka na siyo vinginevyo...ni hovyo kabisa...si ndiyo huyu unayemwita mwamba alisambaza video ya maongezi Kati ya makame na molinga? Je anafahamu madhara ya kusambaza video hiyo? Tukiacha hayo ya mnayemwita mwamba huyu naye mwenye chel Cha makamu wa ..wa Yanga naye ni hovyo kabisa...yaani masuala ya usajili anachukulia utani?! Kwa klabu kubwa Kama Yanga kuwa na mtu wa aina hij ni hatari...ina idi aniuzulu mwenyewe bila kulazimishwa....asipojiuzulu ataondolewa kwa nguvu kwa kuiaibisha klabu...hovyo kabisa...Hii Yanga uongozi wake ni wa mashaka makubwa...
 
Huyo unayemwita mwamba Hana umwamba wowote ule labda ule wa kuropoka na siyo vinginevyo...ni hovyo kabisa...si ndiyo huyu unayemwita mwamba alisambaza video ya maongezi Kati ya makame na molinga? Je
nani kakupa mamlaka ya kunipangia jina la kumwita Haji?
 
Back
Top Bottom