Kuhusu tuhuma za kuwa Ikulu ya Kenya yatoa amri kuwa kila mkenya anapaswa kuishi alipotoka; Kalenjis wanataka Uhuru asikanyage kwao

Kuhusu tuhuma za kuwa Ikulu ya Kenya yatoa amri kuwa kila mkenya anapaswa kuishi alipotoka; Kalenjis wanataka Uhuru asikanyage kwao

We jamaa sijui hata Kenya ilikufanya nini. Hivi una multiple ID ambayo nyingine ni ya kule majukwaa ya TZ au wewe task yako ni kupambana na Kenya left and right.

BTW unaongelea ukabila wa Kenya wakati hapa tuna ukanda na watu wa kanda flani wanasomeshwa namba na kwenye safu za uongozi sura zao hazitakiwi kuonekana..

Watu wa kabila lake tu ndio wanajazwa kila mahali, hilo hulioni unaliona la Kenya tu.
Kenya ukabila ni ndugu
 
Kila uchaguzi wakenya huchinjana mapanga...
2013 na 2017 sikuona watu wakichinjana..omba 2022 labda mara hii dua yako itapokelewa na ndoto zako pia kutimia..
Watu labda watachinjana kinoma
2022 lazima mchinjane tu sababu ni kutaka Kenya iwe na viongozi wanao ongoza kama viongozi wa tz Kwa sababu 2022 tanzania itakuwa imefanya mambo makubwa na kuzindua mambo makubwa na kusifiwa hadi na mabeberu licha ya kutokupenda hadi RAIA wa nchi za mabeberu watataka kuwa na kiongozi kama magufuli
 
Omba Mungu sana basi tuchinjane...si ajabu mara hii ndoto zenu zitatimia...

Mkiona haiwezekani nendeni mpka kw wachawi...manake 2013 na 2017 dua zenu zimeangukia pua

Back
Top Bottom