Hata lisu alipigwa risasi na wakongo.
It's propagandaBro, one question, are you disputing the contents of this video?
Propaganda from a low IQ scoundrel! Grow up old man!
Ulitoa wapi hizi statistics?Mwaka 2017 wajaluo 67 waliuliwa kwa risasi za serikali ambazo hununuliwa na kodi zao wenyewe. Kwahiyo kwasababu hawa kuuliwa kwa panga wewe kwako ni ushindi?
It's propaganda
Wajua kusoma ama tatizo ni kuelewa?I think, it's your first time to hear this term propaganda.
Wajua kusoma ama tatizo ni kuelewa?
Report spam
Kenya ukabila ni nduguWe jamaa sijui hata Kenya ilikufanya nini. Hivi una multiple ID ambayo nyingine ni ya kule majukwaa ya TZ au wewe task yako ni kupambana na Kenya left and right.
BTW unaongelea ukabila wa Kenya wakati hapa tuna ukanda na watu wa kanda flani wanasomeshwa namba na kwenye safu za uongozi sura zao hazitakiwi kuonekana..
Watu wa kabila lake tu ndio wanajazwa kila mahali, hilo hulioni unaliona la Kenya tu.
2022 lazima mchinjane tu sababu ni kutaka Kenya iwe na viongozi wanao ongoza kama viongozi wa tz Kwa sababu 2022 tanzania itakuwa imefanya mambo makubwa na kuzindua mambo makubwa na kusifiwa hadi na mabeberu licha ya kutokupenda hadi RAIA wa nchi za mabeberu watataka kuwa na kiongozi kama magufuliKila uchaguzi wakenya huchinjana mapanga...
2013 na 2017 sikuona watu wakichinjana..omba 2022 labda mara hii dua yako itapokelewa na ndoto zako pia kutimia..
Watu labda watachinjana kinoma
2022 lazima mchinjane tu sababu ni kutaka Kenya iwe na viongozi wanao ongoza kama viongozi wa tz Kwa sababu 2022 tanzania itakuwa imefanya mambo makubwa na kuzindua mambo makubwa na kusifiwa hadi na mabeberu licha ya kutokupenda hadi RAIA wa nchi za mabeberu watataka kuwa na kiongozi kama magufuli