Kuhusu TUHUMA za uzushi za Kitenge naomba wana SIMBA kwa umoja wetu tuamue kifuatacho

Dah huu usimba na uyanga sasa unataka kuwa janga la taifa yaani mtu afukuzwe kazi simba kusemwa vibaya hahaaaaaaa hizi bangi kabisa tena za njaaa
Haji mwenyew mropokaji tu anayemuunga mkono huwa nakuwa namashaka na akili zake huwezi simba ni kitu gani isisemwe zinaandamwa timu kubwa duniani huko kama man u ,city nk leo simba tu ndo iwe mpk watu wafukuzwe kazi acheni uzwazwa nyie kuongoza kundi ndo mnaanza makelele hivi dah je mkichukua kombe sasa si mtadai kuhama nchi kabisa kwamba nyie sio level ya Tanzani nyambafu kabisa na msemaji wenu huyo nguruwe wa kizungu msituzingue nyie
 
Acha roho mbaya mkuu
Kumbuka anao watu nyuma yake wanamtegemea

Hoja ya kipuuzi Sana hii, kabla huja mjudge mtu jitazame kwanza wewe Kama upo Bora Sana kuliko mwenzako....

Mind ur business mkuu
Kama anao kwanini asi behave in acceptable manner? kwa hiyo hao anaowafanyia character asasination hawana ndugu nyuma yao?

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Mashabiki wa simba wanadeka sana. Halafu wanapenda muda wote timu yao kusifiwa tu hata katika mambo ya hovyo hovyo.

Mbaya zaidi kwenye miaka ya karibuni, wamejigeuza kuwa misukule ya Haji Manara! Akisema Manara chochote, basi wote huitikia "hewalaaa" Huyo Manara akitukana, na wenyewe wanatukana!

Hata sishangai Rage alipo waita mbumbumbu! Na natambua fika mtakuja. Hivyo nawasubiri kwa hamu. Mbumbumbu wakubwa nyinyi! aka [emoji82][emoji82] mapaka fc.
Utopolo sikuhizi mmegundua njia pekee ya kujifariji ni kutunga habari za uzushi dhidi ya mnyama maana timu yenu ishaharibika.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Mzee mzima miaka 20 kwenye industry halafu unakuwa mzushi. Kile kidoti kinamfanya ajione naye AmberLulu
 
tukimalizana na maulid kitenge tuje kwa haji manara hawa wote waongeaji kila mmoja ni kusem tem ya wenzake iweje simba tukirushiwa maneno tuna panik tuwe wavumilivu wenzetu wanaporusha maneno ndio raha ya hizi team mbili. tuache kuingilia biashara za watu kuna watu wanaendesha maisha na watoto wanaenda shule. ukichukia susa kula.
 
Jina lenyewe kitenge halafu ana kidoti
Muone mbumbumbu fc huyu katika ubora wake! Hamchelewi nyinyi kwenda kwenye hizo studio za Wasafi na Mapaka ya kutosha tu 😿🙀😼😸😺 kwenda kumtisha huyo Maulidi Kitenge.
 
kwani huo uzushi ni upi na kaufanyia wapi??? kama kaufanyia wasafi basi simba kama taasisi waishtaki wasafi, kama kafanya kwenye pages zake TCRA wapo,kama kwenye kijiwe cha kahawa pia sheria zipo wazi,lakini kamwe wanasimba tusipelekwe pelekwe tu,wat if huo "uzushi" Kaka kidoti akathibitisha au baadae mambo yakawa wazi tutafanyaje?
 
Muone mbumbumbu fc huyu katika ubora wake! Hamchelewi nyinyi kwenda kwenye hizo studio za Wasafi na Mapaka ya kutosha tu [emoji80][emoji79][emoji78][emoji75][emoji74] kwenda kumtisha huyo Maulidi Kitenge.
Nyani leo mnaenda kukeketwa huko Arusha
 
Mashabiki wa simba wanadeka sana. Halafu wanapenda muda wote timu yao kusifiwa tu hata katika mambo ya hovyo hovyo.

Mbaya zaidi kwenye miaka ya karibuni, wamejigeuza kuwa misukule ya Haji Manara! Akisema Manara chochote, basi wote huitikia "hewalaaa" Huyo Manara akitukana, na wenyewe wanatukana!

Hata sishangai Rage alipo waita mbumbumbu! Na natambua fika mtakuja. Hivyo nawasubiri kwa hamu. Mbumbumbu wakubwa nyinyi! aka 😾😾 mapaka fc.

Tena hapa ndiyo unajiona umeandika point? Heri hao walioitwa Misukule kuliko Nyinyi mulioitwa Nyani na Mbwa
 
.
FB_IMG_1614878436285.jpg
 
Mimi ni shabiki wa Simba lakini pia ni shabiki wa Wasafi.
Sisusi kusikiliza Wasafi f.m.
Simba ni brand kubwa sana Africa unategemea itasemwa vema na watu wote?
Kikubwa tuvumiliane hata watu wa Simba tunamachukizo kwa wenzetu lakini wanavumilia pia.
 
Mashabiki wa simba wanadeka sana. Halafu wanapenda muda wote timu yao kusifiwa tu hata katika mambo ya hovyo hovyo.

Mbaya zaidi kwenye miaka ya karibuni, wamejigeuza kuwa misukule ya Haji Manara! Akisema Manara chochote, basi wote huitikia "hewalaaa" Huyo Manara akitukana, na wenyewe wanatukana!

Hata sishangai Rage alipo waita mbumbumbu! Na natambua fika mtakuja. Hivyo nawasubiri kwa hamu. Mbumbumbu wakubwa nyinyi! aka [emoji82][emoji82] mapaka fc.
Habari za huko kwenu utopolo corona fc ..wazee wa kazi tushatuma BUNDI kama 17 hivi wapo hapo wananguruma mitaa ya jangwani ..na bado yani yanga itapasuka vipande vipande
 
Mashabiki wa simba wanadeka sana. Halafu wanapenda muda wote timu yao kusifiwa tu hata katika mambo ya hovyo hovyo.

Mbaya zaidi kwenye miaka ya karibuni, wamejigeuza kuwa misukule ya Haji Manara! Akisema Manara chochote, basi wote huitikia "hewalaaa" Huyo Manara akitukana, na wenyewe wanatukana!

Hata sishangai Rage alipo waita mbumbumbu! Na natambua fika mtakuja. Hivyo nawasubiri kwa hamu. Mbumbumbu wakubwa nyinyi! aka [emoji82][emoji82] mapaka fc.
Hahaha hamjaanza kupigana mapanga hapo vidimbwi fc mana si kwa vita linalotaka kuanza
 
Back
Top Bottom