Madaraka matamu sana!kumbe,minikajua ni CCM na tff tu kumbe hata huko.inamaana Dunia nzima akuna wa kumpa chalange Infantino?
CCM TFF FIFA NA YANGA ndio wana hayo mauzauza!!kumbe,minikajua ni CCM na tff tu kumbe hata huko.inamaana Dunia nzima akuna wa kumpa chalange Infantino?
Pia FIFA na CAF.unakumbuka Hayatollah alivyokua akipita bila kupingwa?CCM TFF FIFA NA YANGA ndio wana hayo mauzauza!!
Mbn haya ya kupita bila kupingwa mkuu yapo hata hapo Klabuni kwakoItafikia wakati sasa Wanamapinduzi tutaanza kutumia kila sekta zile principle za Mwanamapinduzi mwenzetu Ernesto Che Guevara!
Maana hakuna namna nyingine.
Linapokuja suala la kufanya Mapinduzi, huwa kinachoangaliwa ni haki tu. Hivyo muda ukiwadia, hata kama ni Yanga! Na wenyewe watapinduliwa tu kwa huo ukurunzinza wao.Mbn haya ya kupita bila kupingwa mkuu yapo hata hapo Klabuni kwako
Nadhani hizo principle ungezianzia hapo ungeokoa sana klabu yako