Kuhusu uchaguzi wa rais wa FIFA

Kuhusu uchaguzi wa rais wa FIFA

Umkonto

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Posts
2,652
Reaction score
4,593
Habari iliyopo kuhusu uchaguzi wa rais wa FIFA ni kwamba, Giant Infantino amepita bila kupingwa kwa sababu hakuna mgombea mwingine aliyechukua fomu za kugombea.

Gian Infantino ambaye ni rais wa sasa FIFA, anasubiri kupitishwa na mkutano mkuu utakaofanyika mwezi machi 2023 huko nchini Rwanda.

Chanzo: Star Tv Habari/Michezo (8:00 PM: 18-11-2022)
 
Chadema wako wapi waje tunaonewa huku wanamichezo, haiwezekani mtu apite bila kupingwa.
 
Itafikia wakati sasa Wanamapinduzi tutaanza kutumia kila sekta zile principle za Mwanamapinduzi mwenzetu Ernesto Che Guevara!

Maana hakuna namna nyingine.
 
Itafikia wakati sasa Wanamapinduzi tutaanza kutumia kila sekta zile principle za Mwanamapinduzi mwenzetu Ernesto Che Guevara!

Maana hakuna namna nyingine.
Mbn haya ya kupita bila kupingwa mkuu yapo hata hapo Klabuni kwako
Nadhani hizo principle ungezianzia hapo ungeokoa sana klabu yako
 
Mbn haya ya kupita bila kupingwa mkuu yapo hata hapo Klabuni kwako
Nadhani hizo principle ungezianzia hapo ungeokoa sana klabu yako
Linapokuja suala la kufanya Mapinduzi, huwa kinachoangaliwa ni haki tu. Hivyo muda ukiwadia, hata kama ni Yanga! Na wenyewe watapinduliwa tu kwa huo ukurunzinza wao.
 
Back
Top Bottom