Mmakedonia
Member
- Sep 1, 2021
- 21
- 12
Tarehe 17/09/2021 NACTE kupitia ukurasa wao waliweka tangazo na ndani ya hilo tangazo wamesema wale wanafunzi ambao hawakuchaguliwa na ambao hawakuomba nafas za vyuo basi wafanye hivyo katika awamu hii kwani ndio awamu ya mwisho kwa muhula huu wa masomo.
Sasa hapa tangu juzi naingia kwenye ukurasa wa nacte tangazo naliona lakini mahali ambapo huwa wanaweka "udahili wa kozi za afya" sipaoni, kuna mdogo wangu apa nataka kumfanyia application nimekwama na ukizingatia ushindani ni mkubwa na mwisho wa kufanya maombi wamesema ni tarehe 29/09 hivyo naomba msaada kwa yeyote mwenye upeo juu ya jambo hili linavyotakiwa kwenda tafadhari ili nifanikishe.