mropper imran
Member
- Oct 10, 2014
- 7
- 0
ndugu wanajamii forum naomba kuuliza! Mimi nimechaguliwa udom Bsc. with education.
Je, ni lazima nilipe gharama zote ndio nisajiliwe chuoni? na kama jibu ndiyo, inakuwaje kwa m2 asiyekuwa na gharama hizo na anategemea tu mkopo?
Mi mkopo wamenipa 100%