mropper imran
Member
- Oct 10, 2014
- 7
- 0
Hvi accomodation pale udom ni lazima ulipe ya mwaka mzma au unaweza kulipa ya semister..nataka kumlipia my mdogo lakni cjui hata utaratibu wao ukoje!
ni yote hakuna cha nusunusu hapoo
fafanua mkuu ndo nini hyo?(udoso),napia 2talipia bank au inakuwaje hyo buku 5 ya udoso?Na buku 5000 ya udoso usiisahau
Hyo ya direct cost au vp?, na pia inakuwaje kama umepewa mkopo robo tatu(3/4),je naweza lipa direct cost kwanza?Hapana nusu unalipia inawezekana piga 245×500 then gawia mbili then lipia
fafanua mkuu ndo nini hyo?(udoso),napia 2talipia bank au inakuwaje hyo buku 5 ya udoso?
Direct cost ni lazma utalala kwa nani bla kulipa,unaweza lipia kwa semister inategemea na college na coz
college of humanities and social science,wanachukua nusu?
Kaka mm nina fee structure ,lakn siioni hyo a/c ya udoso,msaada jamaniYap wana account yao ya crdb udoso bila hiyo hawakupokei
Nipo college of eductn, xaxa cjajua maana yote majanga ,mambo hayasomeki kabisaa,msaada jamaniDirect cost ni lazma utalala kwa nani bla kulipa,unaweza lipia kwa semister inategemea na college na coz
Kaka mm nina fee structure ,lakn siioni hyo a/c ya udoso,msaada jamani