Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
hapo n lazma ulipe yote, ada ndo wanapokea nusu
daa poa ngoja 2fanye mchakatoWanakubali washkaj kbao tu nanawajua walikuwa wanafanya hvyo na wamehtimu sahv
Mimi sio mkaka.Halafu hiyo ni fee structure kwani umeona kuna direct cost humo?Ndio hivyo unatakiwa ulipe udoso ni serikali ya wanafunzi maana ukiwa unajisajili kuna sehemu udoso wana clear kama umelipa usipofanya hivyo utaanza kuhangaika tena na kurudia foleni upya tafuta wenzako wakupe account ya udoso au waulize waliopo mbele yako
Dogo nawe haupo seriouz tatzo mnachat whatsapp na Facebook badala ya kutembelea web za chuo chako kwanza,sahv umekuwa chukua mambo ki uzto na ki uangalifu zaid
Kaka mm nina fee structure ,lakn siioni hyo a/c ya udoso,msaada jamani
Hapana nusu unalipia inawezekana piga 245×500 then gawia mbili then lipia
Nilijaribu wakati naanza first year nilitimuliwa upeeeeeeeeeeeees nikaiweke iliyobakia.
Hii inanihusu mie?
Huwa ni weu ila ukiongea nao vzur wanakubali
Poa kaka nitafanya hvyo0150083321200 crdb or 5201000905 nmb udoso a/c verify kwanza
Oya wadau wa udom,mfano mdogo angu mie hana ndugu dodoma na wala hajawah kukanyaga ardhi ya huo mkoa kabisa,sasa akifka masuala ya kujua amepangwa block gani na rum number ngapi anayajuaje?afu,kaambiwa cjui ariport school of busness and economics,hiyo ndo iko upande gani hapo udom?
College of humanities and social science......ntampa wenyeji atajiskia vzur tu na hope watamuongoza vzur
changamoto gani kubwa zilizopo udom hasa kwa mtoto wa kiume?maji na umeme c ni vya uhakika?