Kuhusu University of Iringa

Kuhusu University of Iringa

LABY

Member
Joined
Sep 22, 2014
Posts
16
Reaction score
0
Jamani mbona tangu majina ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo yaanze kutolewa, napita humu kila siku sijaona chochote kuhusu Iringa university! Wala watu waliochaguliwa kujiunga ktk chuo hicho! Hivi nitakuwa nimechaguliwa peke yangu huko?
 
Usijali mimi Mwnyewe Nimechaguliwa Huko Pia Ila Nimeomba Transfer Na Mpaka Sasahivi Sina Taarifa Zozote Za Hicho Chuo
 
Sijui akina wahusika maana kiko kimya wala hata kutuhabarisha kama wengine no!
 
Itakuwa waliochaguliwa hapo sio watoto digital. Bado wako Analogue.
 
Jamani mimi hicho Chuo Kinaichosha Join Instruction Wametoa Kwa Watu Wa Diploma Na Cetfct Na Masters Ila Ukiwapigia Wanakwambia Kama Wa Degree Njoo Chuo Join Insrtuction Ndo Hyo Then Wanakata Simu Me Wananichosha Kweli Yaan
 
Jamani Me Hcho Chuo Kinaichosha Join Instruction Wametoa Kwa Watu Wa Diploma Na Cetfct Na Masters Ila Ukiwapigia Wanakwambia Kama Wa Degree Njoo Chuo Join Insrtuction Ndo Hyo Then Wanakata Simu Me Wananichosha Kweli Yaan

Nakwambia! Mi mwenyewe niliwauliza wakaniambia visit tovuti ya Tumain, nikivisit nakutana na hayo hayo unayosema kila siku, hata leo!
 
Wapo wengi sana na join instruction ipo wameweka na admsion letter utazikuta chuo.... From tar 13
 
Tena kwa mkazo wamesema tusiporipot jtatu ndo tumejiondoa. Binafc nimepangiwa community devlpnt but nimeomba transfer so sijui hatma yangu
 
Hiyo ndio ilikuwa inaitwa Tumaini zamani, sijajua kama degree zake zinaheshimika mtaani siku hizi.
 
Tutafutane nimepelekwa Iringa

0789104007
0759055104
0713055107
 
Njooni madogo nahisi wengi wenu bado hamjajua kutumia mtandao kwani mnayoyalalamikia yote yapo kwa website just visit
 
Back
Top Bottom