Bishara mchomvu
Member
- Apr 3, 2013
- 53
- 0
mmmmh siku hizi unamaliza yote hayo online bhana,hakuna kuhangaika kuprint zaidi sana unanunua vocha elfu ishirini maalum kwa ajili ya mkopo zinapatikana CRDB.
eeeeh mkuu mbona kama haujielewi,unajaribu kuudanganya umma kwa kitu usichokojua.nadhani una hangover za mchana za makande na mayai ya kuchemsha.
Mh!! Jaman, mambo yote yataishiaje online?? vipi kuusu abali za uthibitisho kutoka kwa mwenyekiti wa kijiji na mahakimu ??? ambao naskia nao wanahusika?
ivi bado hawa vichaa waliotoroka milembe hawajakamatwa!hii unayosema labda umeianzisha wewe na hii bodi ya mikopo unayoiongelea yenye process hyo ni ya kwako labda. siyo heslb kijana hapo juu aliyoiulizia.ww nahisi umesoma enzi za mwl usinipotezee muda,naongea kitu nina uhakika nacho.
Mwenye kujua zaidi jambo hili atueleweshe zaidi linatuhusu wengi tu