Bishara mchomvu
Member
- Apr 3, 2013
- 53
- 0
Jamani wana Jf, naomba kujulishwa kwamba form ya mkopo inagarimu ela kiasi gani? yaani kuanzia kuiprint hadi kuituma, garama zake zote kwa ujumla ni kiasi gani? na garama hzo zinalipiwa wapi na wap na @ upande ni ela kiasi gani??