Kuhusu upotevu wa Id na loss report

Kuhusu upotevu wa Id na loss report

kidereko

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2021
Posts
882
Reaction score
1,262
Morning,

Wakuu nimepoteza vitambulisho vyangu vya benki na NIDA, kwa upande wake benki,je inatakiwa nianzie polisi au niende bank kwanza labda Kuna karatasi watanipa yakwendanayo polisi!?

Na je kwa NIDA hadi nije kupata kitambulisho kingine siitachukua miaka, maana naona Kuna watu Hadi leo hawajapata vitambulisho vyao vya NIDA
 
Upo mkoa gani nkupe msaada wa loss report
 
Back
Top Bottom