Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Habari
Leo nataka kuongea kuhusu ustawi wa jamii hii ni taaluma ambayo imejikita katika kutatua changamoto na matatizo ya jamii Inafanya kazi na wazee watoto walemavu na wanawake lakini na jamii kwa ujumla
Watu wasichotambua kuhusu ustawi wa jamii
Watu wengi wanahisi ustawi wa jamii ni kwaajili ya wanawake kitu ambacho sicho sahihi wanaume pia wanahaki kwenda ustawi wa jamii kudai matuzo kama mwanamke alie zaa nae hatoi matuzo kea mtoto wake lakini pia kama anapata manyanyaso ya aina yoyote akiwa kwenye ndoa au uchumba