Kuhusu utekaji nchini, Viongozi wa dini ya Kiislam mnaogopa nini kukemea utekaji ?

mshale21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
2,517
Reaction score
6,074
Viongozi wa Dini ya kiislamu, je ? Ala na mtume Mohamad aliwafundisha kufumbia macho utekaji, uonevu, upotezaji na uuaji wa watu? Dini yenu inabariki haya mambo ya hovyo na kuyaona baraka kwa kuwa mtawala ni miongoni mwa waislamu?

Mnahisi mko salama? Mnahisi msipoyakemea na kuyafumbia macho ,ninyi hamtakufa?

Kwa nini wanapotokea watu wa kuhubiri haki na kukemea utekaji, upotezaji na uuaji wa watanzania mnakuwa msitari wa mbele kuwapinga huku mkiweka hoja ya udini mbele?

Je, uislamu umewafundisha haya? Ya kwamba giza kuitwa nuru ndiyo uislamu?
 
Katika uislamu mambo yako hivi:
1. Dini
2. Nafsi yako
3.wazazi wako
4 taifa lako.
Hapo kazi kwako mkuu ufanye tafakuru.
 
Kwenye dini yetu tunachojua ni kunukuu vifungu vya Quran kwa lugha ya kiarabu, na ndio utakatifu.
Hayo mambo ya kesho yetu na watoto wetu tuna waachie ninyi
 
Back
Top Bottom