Naomba suala hili lifanyiwe uchunguzi.
Watumishi wa Ofisi ya NIDA Nzega pamoja na kiongozi wao wanadaiwa kutoa huduma zisizoridhisha kwa wananchi. Baadhi ya wahudumu wana kauli zisizo za kiungwana, huku wananchi wakidai kuwa bila kutoa rushwa ni vigumu kupata huduma.
Pia, kiongozi wa ofisi hiyo anadaiwa kuwafokea na kuwatukana wananchi bila sababu za msingi.
Naomba Serikali ichukue hatua na kufuatilia mwenendo wa utoaji huduma katika ofisi hiyo ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora, yenye heshima na bila vikwazo visivyo vya lazima.