Hajto
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 5,646
- 5,606
Habari zenu mabibi na mabwana,kuna kitu sijakielewa naombeni ushauri wenu,leo nimeingia kwenye ajira portol,kuna nafasi niliomba nimekuta nimeitwa kwenye saili,tarehe ya maelezo kwa kada zote inasema usaili ni tarehe 19,ila chini kabisa kwenye majina wameandika usaili wa kwanza ni tarehe 14 sasa sijaelewa hapa nibaki na lipi,naombeni ushauri wenu