Mtini
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 1,492
- 2,361
Wanabodi mnakumbuka mwezi wa pili walipandisha bei za vifurushi, tukalalamika zipunguzwe wakatuahidi mwezi wa 4. Mwezi wa 4 vimepanda zaidi tumepiga kelele wameturudisha kwenye bei zilezile za mwezi wa pili tulizokuwa tunazipigia kelele, nasi bila kujua tunashangilia.
Kifupi Serikali imetufanyia mchezo wa kitoto bila sisi kujua.
Kifupi Serikali imetufanyia mchezo wa kitoto bila sisi kujua.