Sasa hizo bei za mwez wa pili c ni bora zaid y hizi walizopandishs juzi?acha kuwa kifutu,kama kwako wamerudisha zile za mwez wa pili unalalamika nini,au hujui ulichokiandika hapo?Uwe unasoma mada/uzi vizuri kuliko kukurupuka kuandika kitu kisicho mkuu.
Wewe ndio hujui ulichoandika mleta anauliza kwanini serikali haijachukua hatua yoyote mpakaSasa hizo bei za mwez wa pili c ni bora zaid y hizi walizopandishs juzi?acha kuwa kifutu,kama kwako wamerudisha zile za mwez wa pili unalalamika nini,au hujui ulichokiandika hapo?
Sasa hujaelewa nn hapo,yy kasema wamerudia tena zile bei za mwez wa pili,ss kama kwake wamerudsh m bado sijaona mabadiliko hayo,hujui kusoma nn dogo?Wewe ndio hujui ulichoandika mleta anauliza kwanini serikali haijachukua hatua yoyote mpaka
Wewe unakurupuka kuandika kwako hako haukuna mabadiliko yoyote.
kwan jamaa kakosea wapi, hata mimi cjaona mabadiliko vfurush n vlevle vlivyobadilishwa juziUwe unasoma mada/uzi vizuri kuliko kukurupuka kuandika kitu kisicho mkuu.
Wamemwacha waziri ilifaa naye aondokeDG wa TCRA tayari kashaliwa kichwa. Tuendelee kupiga maombi Mungu ni wetu sote.
VODA bado hawajarekebisha.Wanabodi mnakumbuka mwezi wa pili walipandisha bei za vifurushi, tukalalamika zipunguzwe wakatuahidi mwezi wa 4. Mwezi wa 4 vimepanda zaidi tumepiga kelele wameturudisha kwenye bei zilezile za mwezi wa pili tulizokuwa tunazipigia kelele, nasi bila kujua tunashangilia.
Kifupi Serikali imetufanyia mchezo wa kitoto bila sisi kujua.