george chambila
Member
- Sep 27, 2014
- 27
- 2
Wadau kwa wale wenye connection na maswala ya ving'amuzi naombeni kujua ni wapi naweza pata king'amuzi cha bein sport kwa hapa tz.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe contacts za huyo jamaa nipo IringaKaka hii kitu ipo sema inatumia internet kuna jamaa anauza iringa huko sema bei yake sasa ni balaaa anauza 350k
Nipe contacts za huyo jamaa nipo Iringa
Hizo channel tunaziona kwenye FCN TV (Dodoma cable)
Dstv wakikukamata utaenda kulala segerea chunga sana kijana
Dstv kupitia super sport ndio wenye hatimiliki ya kuonyesha kandanda haswa epl na uefa barani Africa hususan Afrika mashariki na kusini mwa Afrika sasa wewe kutumia decoder ya Bein unavunja sheria na ukishikwa unapandishwa kizimbani...wanatoaga ofa kwa wambeyawanamahusiano gani na Bein sport mkuu
Haiwezi, coz inakuwa nyaya kama za simu.Mkuu hivi Dodoma cable haiwezi kamata iringa pale??
sasa hapo kosa ni la bein au mwonaji?Dstv kupitia super sport ndio wenye hatimiliki ya kuonyesha kandanda haswa epl na uefa barani Africa hususan Afrika mashariki na kusini mwa Afrika sasa wewe kutumia decoder ya Bein unavunja sheria na ukishikwa unapandishwa kizimbani...wanatoaga ofa kwa wambeya
acha kupotosha kwani dstv na chaneli nyingine ambazo sio zake anahusika vipi??mbona mikoani EPL,inaonekana kupitia chanels nyingi kama canal+ kwenye cable?Dstv wakikukamata utaenda kulala segerea chunga sana kijana
ninachofahamu mimi ni kuwa hawataki utumie chanel zao ,nenda bukoba kuna huduma ya cable mkoa mzima na inajulikana,kipindi cha nyuma alikuwa anatumia na supersport 3!!wakamkataza suku hizi anatumia chanel nyingine tu kuonyesha mpira na huo ugomvi uliisha!!!dar ndio sehemu ambayo watu wanapata tabu sana kuona ligi za ulaya lakini kwa mikoani kila jtu anayo nyumbani kwake kwa kupitia cableDstv kupitia super sport ndio wenye hatimiliki ya kuonyesha kandanda haswa epl na uefa barani Africa hususan Afrika mashariki na kusini mwa Afrika sasa wewe kutumia decoder ya Bein unavunja sheria na ukishikwa unapandishwa kizimbani...wanatoaga ofa kwa wambeya
Mkuu hiyo cable kufunga nigharama kiasi gani?ninachofahamu mimi ni kuwa hawataki utumie chanel zao ,nenda bukoba kuna huduma ya cable mkoa mzima na inajulikana,kipindi cha nyuma alikuwa anatumia na supersport 3!!wakamkataza suku hizi anatumia chanel nyingine tu kuonyesha mpira na huo ugomvi uliisha!!!dar ndio sehemu ambayo watu wanapata tabu sana kuona ligi za ulaya lakini kwa mikoani kila jtu anayo nyumbani kwake kwa kupitia cable
Mkuu upo sehem gani aiseh? Na decorder za FTA zenye powervu zinacost gharama kiasi gani hadi ufungaji?Nikiwa ksma nguli wa fta hakuna wa kukutisha tafta fta receiver weka beinsport au cannal sport kwidha kazi
inategemea na mkoa uliopo kwani kila mkoa kuna mtoa huduma tofauti kwa bukoba ni mohamedi ilikuwa 40,000 zamani ,na kila mwezi nadhani ni 15,000 ila ni burudani kwenda mbele tu hutakwenda ktena kwenye vibanda umiza kuangalia epl wala uefa.Mkuu hiyo cable kufunga nigharama kiasi gani?
TV1, eatv wanaonyesha baadhi ya match nenda mkawashtaki,Dstv kupitia super sport ndio wenye hatimiliki ya kuonyesha kandanda haswa epl na uefa barani Africa hususan Afrika mashariki na kusini mwa Afrika sasa wewe kutumia decoder ya Bein unavunja sheria na ukishikwa unapandishwa kizimbani...wanatoaga ofa kwa wambeya