Kuhusu ving'amuzi vya bein sport

Kuhusu ving'amuzi vya bein sport

Kaka hii kitu ipo sema inatumia internet kuna jamaa anauza iringa huko sema bei yake sasa ni balaaa anauza 350k
 
Dstv wakikukamata utaenda kulala segerea chunga sana kijana
 
wanamahusiano gani na Bein sport mkuu
Dstv kupitia super sport ndio wenye hatimiliki ya kuonyesha kandanda haswa epl na uefa barani Africa hususan Afrika mashariki na kusini mwa Afrika sasa wewe kutumia decoder ya Bein unavunja sheria na ukishikwa unapandishwa kizimbani...wanatoaga ofa kwa wambeya
 
sasa hapo kosa ni la bein au mwonaji?
 
Dstv kupitia super sport ndio wenye hatimiliki ya kuonyesha kandanda haswa epl na uefa barani Africa hususan Afrika mashariki na kusini mwa Afrika sasa wewe kutumia decoder ya Bein unavunja sheria na ukishikwa unapandishwa kizimbani...wanatoaga ofa kwa wambeya
ninachofahamu mimi ni kuwa hawataki utumie chanel zao ,nenda bukoba kuna huduma ya cable mkoa mzima na inajulikana,kipindi cha nyuma alikuwa anatumia na supersport 3!!wakamkataza suku hizi anatumia chanel nyingine tu kuonyesha mpira na huo ugomvi uliisha!!!dar ndio sehemu ambayo watu wanapata tabu sana kuona ligi za ulaya lakini kwa mikoani kila jtu anayo nyumbani kwake kwa kupitia cable
 
Mkuu hiyo cable kufunga nigharama kiasi gani?
 
inategemea na mkoa uliopo kwani kila mkoa kuna mtoa huduma tofauti kwa bukoba ni mohamedi ilikuwa 40,000 zamani ,na kila mwezi nadhani ni 15,000 ila ni burudani kwenda mbele tu hutakwenda ktena kwenye vibanda umiza kuangalia epl wala uefa.
 
Dstv kupitia super sport ndio wenye hatimiliki ya kuonyesha kandanda haswa epl na uefa barani Africa hususan Afrika mashariki na kusini mwa Afrika sasa wewe kutumia decoder ya Bein unavunja sheria na ukishikwa unapandishwa kizimbani...wanatoaga ofa kwa wambeya
TV1, eatv wanaonyesha baadhi ya match nenda mkawashtaki,
 
Back
Top Bottom